Chama arejea mzigoni
MWAMBA wa Lusaka Clatous Chama ni jina linalovuma mno inapotokea michezo migumu na ya maamuzi.
-
Simba walinufaika mno na huyu jamaa ulipokuja wakati kama ambao Yanga wameufikia hivi sasa, wana mlima wa kupanda lakini wanakumbuka kwenye kundi lao wanamtaalam Chama.
-
Taarifa kutoka Yanga ni kuwa Chama amepona na tayari amerejea mazoezini hivyo atapatikana kwenye michezo miwili ya Ligi ya Mabingwa iliyosalia.