CAF, TOTALENERGIES WAONGEZA MKATABA

Shirikisho la Soka Barani Afrika CAF pamoja na TotalEnergie wanaongeza Mkataba mpya wa udhamini.

Tukio hilo litafanyika January 28, siku ya jumanne katika Hotel ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam.

Watakuwepo Rais wa CAF Patrice Motsepe, Mwenyekiti na CEO wa TotalEnergies Mr Patrick Pouyannè.