Arajiga, Komba kuchezesha CHAN

Waamuzi wa Tanzania Ahmed Arajiga na Frank Komba, wameteuliwa na CAF kuwa miongoni mwa Waamuzi watakaochezesha Fainali za Mataifa Bingwa Afrika CHAN zitakazofanyika Februari 1-28, 2025 Tanzania, Kenya na Uganda.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA