Yanga kuachana na Andambwile


Klabu ya Yanga SC imefanya mazungumzo na Kiungo Aziz Andabwile ili kufikia makubaliano ya kuachana nae katika dirisha dogo la uhamisho

Kiungo Aziz Andabwile anatajwa kupisha usajili mpya wa Yanga SC katika maboresho ya klabu hiyo

Aziz Andabwile aliwahi kucheza katika klabu ya Mbeya City FC kabla hajajiunga na Singida Big Stars.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA