Vibonde Yanga kuwafuata Mazembe kesho
Kikosi cha Yanga Sc kinatarajiwa kuondoka kesho nchini saa 5 Asubuhj kuelekea Lubumbashi , DR. Congo kwa ajili ya mchezo wa tatu wa makundi ya CAF Champions League dhidi ya TP Mazembe.
TP Mazembe dhidi Yanga SC mchezo wao utapigwa Desemba 14, Stade TP Mazembe .
Yanga na Mazembe matokeo yao si mazuri kwani Yanga haina pointi hata moja wakati Mazembe Ina pointi moja huku zote zimecheza mechi mbili