Ukata waikumba Fountain Gate, mmoja aomba kuondoka
Kama tulivyotoa taarifa kuhusu hali ya uchumi wa timu ya Fountain Gate FC ni kuwa Mchezaji Edger Williams ameomba kuondoka kwenye kikosi hicho kama asipoongezewa Mshahara!
Moja wa viongozi wa timu hiyo amemuambia Ali Machius
Kanyasi kuwa "Edger Williams na yeye kaomba kuongezewa Mshahara jambo ambalo anajua ni gumu kwa sasa ili asepe zake"
Timu kadhaa za ligi kuu zimeanza kuangalia uwezekano wa kumchukua Mchezaji huyo!
.