Singida Black Stars yaichapa Dodoma Jiji

Timu ya Singida Black Stars leo imefufua matumaini ya kusonga mbele kwenye michuano ya Ligi Kuu bara baada ya kuilaza Dodoma Jiji mabao 2-1.

Mabao yote ya Singida Black Stars yamefungwa na mshambuliaji wa Kimataifa wa Kenya, Elvis Baranga Rupia dakika ya nane na 15, wakati bao pekee la Dodoma Jiji limefungwa na mshambuliaji mzawa, Yasin Mohamedi Mgaza 58.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA