Simba yamzuia Lawi kwenda Yanga


BAADA ya tetesi kuibuka Yanga wanamhitaji beki wa Coastal Union Lameck Lawi,mabosi wa Simba wameamua kuifufua upya kesi dhidi ya mchezaji huyo TFF.

Kitendo cha beki huyo kuhusishwa na Yanga kimewaamsha upya mabosi wa Msimbazi na kuamua kukimbilia TFF kuifufua kesi hiyo ambayo taarifa zinaeleza kuwa kesi hiyo inatarajiwa kusikilizwa leo Alhamisi.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA