Simba Queens na JKT Queens hakuna mbabe
Timu ya Simba Queens imelazimkshwa sare ya kufungana bao 1-1 na timu ya JKT Queens kwenye uwanja wa KMC Complex Mwenge jijini Dar es Salaam mchezo wa Ligi Kuu ya wanawake Tanzania bara.
JKT Queens walitangulia kupata bao kupitia Elizabeth Wambui na Simba Queens walisawazisha kupitia kwa Donisia Minja.