Ramovic anataka wachezaji watano wapya Yanga
TAARIFA zandani zinaeleza kuwa kocha SEAD RAMOVIC amewaambia viongozi anataka wachezaji wasiopungua watano kwenye dirisha dogo linaloanza Jumapili ijayo.
.
Kocha anataka kipa ambaye haachani mbali kwa ubora na Djigui Diarra, beki wa kushoto, beki wa kati, kiungo mkabaji na kiungo mshambuliaji anayeliona goli.