Rally Bwalya mbioni kutua Pamba Jiji FC
Taarifa za kuaminika ni kuwa klabu ya Pamba Jiji FC ipo katika mchakato wa mwisho wa kupata saini ya Kiungo Rally Bwalya kutoka Napsa Stars FC
Pamba Jiji FC inahitaji kuboresha kikosi chao na huu usajili wa Rally Bwalya ukiwa ni usajili wa dirisha lijalo la uhamisho
Rally Bwalya aliwahi kucheza Simba SC na Power Dynamos.