Msimchukulie poa Israel Mwenda- Geoff Lea

Mchambuzi wa soka kutoka kituo cha Crown FM Geoff Lea amesema kwamba beki wa kulia Israel Mwenda anayejiunga na Yanga kutokea Singida Black Stars ni mchezaji mzuri na watu wasimchukulie poa.

"Watu wanamchukulia Israh poa, ila wakati yupo Alliance alikuwa mshambuliaji halafu kingine watu wasichokifahamu kuhusu Israh ni mpiga free kicks mzuri tu.

"Kuna 'mahusiano mazuri kati ya Yanga na Singida Black Stars , Kevin Nashon, Israh, Guede, Mauya, Kibabage, hawa wote wametoka Yanga Sc kwenda Singida Black Stars na Singida kwenda Yanga Sc"

Amesema Geoff Lea mchambuzi wa Crown FM

Israel Mwenda

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA