Mshahara mpya wambakisha Feitoto, Azam FC


Kiungo Feisal Salum amekubali ofa ya USD 12,000 (Tshs 31.5m) ambao ni mshahara kutoka Azam FC ili kusaini mkataba mpya wa miaka miwili na USD 320,000 (Tshs Milioni 841.8) ambao ni ada ya usajili

Hakuna nafasi ya Feitoto kujiunga na Simba SC katika dirisha hili dogo la usajili na ataendelea kuitumikia Azam FC katika kipindi hiki baada ya Menejiment kukubali ofa hiyo.

Feitoto amebakiza mkataba wa mwaka mmoja na nusu katika klabu ya Azam FC.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA