Maimuna Kaimu aing' arisha Zed FC, Misri
Nyota wa Tanzania Maimuna Kaimu akiwa na timu yake ya Zed FC leo wamepata ushindi wa magoli 5-1 dhidi ya Pyramids FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Misri.
Ushindi ambao umeifanya timu hiyo kukaa nafasi ya pili kwenye msimamo