Kenya yapokwa uenyeji CHAN


Shirikisho Soka barani Afrika CAF limetoa taarifa kuwa taifa la Kenya limeshindwa kukidhi vigezo vya kuwa mmoja wa mataifa yatakayoandaa mashindano ya CHAN mwakani 2025 mara baada ya kushindwa kukidhi vigezo vya kuwa mwenyeji wa mashindano hayo.

Viwanja vyote vilivyopo Kenya havina ubora wa kutumika katika michezo ya FIFA Wala CAF Kwa mujibu wa wakaguzi wa CAF na hata uwanja wa Kasarani unaojengwa pia imeonekana kuwa hautakamilika Kwa wakati.

Naafasi hiyo wamepatiwa Rwanda mara baada ya kuonekana wao wamekidhi vigezo vya kuwa wenyeji wa CHAN.

CHAN 2025 itachezwa katika mataifa matatu ambayo ni Rwanda Tanzania pamoja na Uganda


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA