KenGold yanasa kifaa Murmbe Makumbi City
Klabu ya Ken Gold inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara iko mbioni kukamlisha usajili wa kiungo fundi wa Muembe Makumbi City Nasir Ali Abdalla Nassir Bofu.
Bofu anatarajiwa kucheza mchezo wake wa mwisho kwenye kikosi Cha Muembe Makumbi City dhidi ya JKU Disemba 14.