Harmonize awashukuru mashabiki kwa kumlipia deni
Msanii Harmonize ametangaza kuwa hana deni lolote hii ni baada ya kulipa deni la milioni 10 alilokopa kutoka Benki ya CRDB.
Harmonize akizungumza kupitia Instagram, ameeleza jinsi
sapoti ya Mashabiki ilivyomsaidia kufanikisha hilo.
Konde pia aliwashukuru CRDB kwa mchango wao katika safari yake ya muziki na, aifunga mwaka kwa kusisitiza kuwa utajiri wa kweli ni watu, si pesa