Gamondi kuibukia Zamalek
Klabu ya Zamalek SC ya nchini Misri inaendelea kufanya uwezekano wa kupata kocha mkuu wa klabu hio haraka sana kuendelea na mashindano ndani na nje ya nchi.
Zamalek imeonyesha nia ya kumsajili aliekua kocha mkuu wa klabu ya Young Africans Sports Club Miguel Angel Gamondi.
Baadhi ya majina yaliyopendekezwa na bodi ya timu ya Zamalek Sc imeorodhesha makocha watano
Josef Zinnbauer
Paulo Duarte
Carlos Queiroz
Miguel Ángel Gamondi
Héctor Cúper