Fountain Gate yabeba mchezaji aliyeachwa na Coastal
Baada ya klabu ya Coastal Union kutangaza kuachana na mchezaji Jackson Shija ni rasmi sasa mchezaji huyo atajiunga na timu ya Fountain Gatr ya mkoani Manyara kama mchezaji huru,awali duru zilieleza ya kwamba angejiunga na Pamba Jiji FC
.
Usajili wa dirisha dogo baadhi ya timu zinajiimarisha ili kuonesha ushindani na kubaki Ligi Kuu na nyingine kuwania ubingwa.
Kwa vyovyote usajili wa Shija unaweza kuwa na faida kubwa kwa Fountain Gate kwakuwa ana kiwango kizuri