Ditram Nchimbi atua Mbeya Kwanza
Klabu ya Mbeya Kwanza imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa zamani wa vilabu vya Yanga,Polisi,Njombe Mji na Mbeya City Ditram Adrian Nchimbi akitokea Biashara United.
Nchimbi tayari amajiunga na Mbeya kwanza na yupo na kikosi hapa mkoani Arusha wakijianda na mchezo dhidi ya TMA Stars siku ya ijumaa.