Aziz Ki arudisha "Pacome staili"

Hali imeanza kubadilika kwa kiungo mshambuliaji wa Yanga SC Stephanie Aziz Ki baada ya jana kupost picha zake akionesha muonekano wa nywele zake akiwa amepaka brichi.

Mchezaji huyo msimu uliopita aling' ara akiwa na brichi nyeupe ambayo alianza kuonekana nayo kwa mara ya kwanza katika mchezo wa Ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya CS Belouzdad ya Algeria.

Mchezaji huyo alikuwa ananyoa kawaida lakini alidilika kwa sababu kwenye mechi hiyo Yanga iliwataka wachezaji wote kumuiga Pacome Zouzoua kwakuwa ilikuwa siku ya Pacome Day na happy ndipo alipoanza kuutumia mtindo huo

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA