Aucho arejea mazoezini Yanga
Kiungo wa Yanga raia wa Uganda Khalid Aucho amerejea mazoezini huku akionekana kuwa fiti na kuimarika zaidi tayari kuitumikia Yanga kwenye mchezo wa jumamosi dhidi ya Mazembe
Huku kwa upande wa Clement Mzize naye akirejea mazoezini ingawa taarifa zinaeleza kuwa hatokuwa tayari kutumika katika mchezo wa jumamosi dhidi ya Mazembe kwa dakika zote , tofauti na Aucho anayeonekana kuwa tayari zaidi!!