Al Hilal kuhamia Libya
KWA MUJIBU Wa Micky Jnr African Football Journalist ni kwamba Klabu ya Al Hilal S.C ya Sudan Al Hilal ametuma barua kwenda CAF.
Wanataka kupeleka mechi zao za nyumbani za Ligi ya Mabingwa hadi Libya.
Ikiwa CAF itaidhinisha barua hii, basi watacheza kwenye Uwanja wa Benghazi.