Yacouba bado wa moto
Yacouba Sogne bado mpira upo sana mguuni, ana mabao manne (4) na assists tatu (3) jumla amehusika kwenye mabao saba (7) ya Tabora United.
Namba 10 ya maana kabisa ya mpira wa miguu ana takwimu nzuri sana ndani ya NBC Premier League, hizi takwimu ni nzuri sana
Mshambuliaji huyo leo amefunga bao moja licha kwamba timu yake imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KMC, goli lingine limefungwa na Offen Chikola