Uongozi wa Yanga kuundwa upya
Muda wowote kuanzia sasa Uongozi wa klab ya Yanga utatangaza mabadiliko mapya ndani ya Uongozi wa klabu yao,
Wapo watakaoenguliwa kutokana na sababu mbali mbali na yapo maingizo mapya yataingia kwenye nafasi zao huku lengo kuu likiwa ni kuboresha zaidi kila nafasi kwenye klabu yao kuwa bora.