TP Mazembe ya wanawake yatwaa ubingwa wa Ligi ya mabingwa
Klabu ya TP Mazembe ya wanawake ndio mabingwa wapya wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwa wanawake baada ya kuwapiga AS FAR kichapo cha bao 1-0.
Mazembe wanafikia rekodi ya Mamelodi kwa kutwaa Kombe hilo mara mbili.