Simba yakubali yaishe kwa Lakred
Uongozi wa klabu ya Simba upo tayari kumwachia Mlinda lango wao Ayoub Lakred kwenye dirisha dogo la usajili,
Ayoub ambaye alikuwa nje ya Uwanja kutokana na kuwa majeruhi tangu msimu huu uanze na sasa ameshapona na amekwisha anza mazoezi na wenzake,
Kabla ya kupata Majeraha Mlinda lango Ayoub aliwahi kuhitajika na vilabu vya JS Kabylie ya Algeria na Raja Casablanca ya Morocco,
Kwasasa Simba Sc ina walinda lango 6
Moussa Pinpin Camara
Aishi Manula
Ally Salim
Hussein Abel
Ayoub Lakread
Ahmad Feruz.