Simba ikicheza vile, tano zitawahusu- Jemedari
Mchambuzi wa soka nchini Jemedari Said ameshangazwa na kiwango kibovu cha Simba SC dhidi ya Bravo's de Maquis ya Angola na amedai kwma wataendelea hivyo basi tutegemee kuona ikifungwa mabao matano matano.
"Kama Simba Sc watacheza vile walivyocheza dhidi ya Bravos de Marquis dhidi ya timu nyingine katika kundi lao, naona kabisa wataturudisha kule katika kufungwa mabao matano matano, wanapaswa kubadilika kwa kiasi kikubwa“-Mchambuzi Jemedari Said