Rasmi, Gamondi amalizana na Singida
Klabu ya Singida Black Stars imefikia makubaliano na aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Yanga SC, Miguel Gamondi kuwa kocha wa klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili.
Gamondi- alitimuliwa na Yanga SC aliyosaini nayo mkataba wa mwaka mmoja ambao unamalizika mwishoni mwa msimu.
Mambo Uwanjani Blog mapema Leo iliandika tetesi za ujio wa Gamondi na hatimaye dili limetiki.
Karibu tena Gamondi Tanzania