Kipresha atetea kiti chake Mdaula
Mwenyekiti wa kijiji cha Mdaula, Chalinze mkoani Pwani kupitia CCM, Shabani Hussein "Kipresha" ametetea kiti chake baada ya kumshinda vibaya mgombea wa CHADEMA Kassim Ramadhan Kondo.
Kipresha ambaye pia ni kocha wa soka daraja C, ameshinda kwa kura 1866 wakati mpinzani wake amepata kura 23 tu.
Akipokea ushindi huo, Kipresha amesema Wanamdaula wameridhishwa na uongozi wake kutokana na kutimiza dhamila aliyokuwa nayo ikiwemo kutekeleza miradi ya kimaendeleo