Ibenge aingia mchecheto kwa Yanga

Kocha mkuu wa Al Hilal Omduman ya Sudan, Frolient Ibenge raia wa DR Congo ameonesha hofu na kikosi cha sasa cha Yanga SC ambao watakutana nao kesho.

"Yanga inawachezaji wazuri sana ambao wanaweza kucheza timu yoyote hapa Africa, unapoenda kukutana na timu kama hiyo lazima ujipange kukukabiliana naamini kesho tutakuwa na mechi ngumu,"
.
"Hatujui Yanga wanacheza huo ndio ugumu wa mchezo huu unapokuja,hatujui mbinu za kocha wao mpya anachezaje,tunaenda na tahadhari kubwa sana juu yao,"

Frolient Ibenge kocha Mkuu wa Klabu ya Al Hilal.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA