GSM, Dewji waula Bodi ya Singida Black Stars

Uongozi klabu ya Singida Black Stars Sc imetangaza Bodi mpya ya Wakurugenzi wa Klabu hiyo ambayo itakuwa chini ya Mwenyekiti, Ibrahim Mirambo, Makamu Mwenyekiti, Omary Kaya na Kassano M. Jonathan ambaye ni Katibu mkuu.

Aidha Bodi hiyo itakuwa na wajumbe 10 akiwemo Fatema Dewji, Salah Said Mohamed, Festo Sanga, Wiltrudies Mutembei, Augustino Lunyage, Seif Ahmed, Nickson Malick, Hussein Nyika, Sam Madelu na Dkt Athuman Kihamia.

Fatema Dewji ambaye ni mdogo wa Mohammed Dewji wakati Salah Said Mohammed yeye ni mdogo wa Ghalib Said Mohamed GSM na wote sasa ni Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Singida Black Stars.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA