Gamondi aishukuru Yanga
Aliyekuwa Kocha wa Klabu ya Yanga Miguel Gamondi Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii ameishukuru Klabu ya Yanga kwa Mara ya Kwanza baada ya Kumalizana na Vigogo ha wa Jangwani. Gamondi amechapisha ujumbe unaosema;
“Thank you very Much
Asante sana Wananchi , To My Players , and Everybody , ..
I am Very Gratefull and Proud to be Part of Yanga in My Time
You will always be in my heart, Much Love”