Diamond Platnumz azua mshangao mtandaoni
Picha mpya kutoka kwa Mwanamuziki Diamond Platnumz, Picha hii imezua gumzo mtandaoni kwani baadhi ya watu wanadai Diamond Platnumz amepata Mwanamke mwingine tofauti na Zuchu huku wengine wakidai kuwa anayeonekana kwenye picha hii ni Zuchu.
Ukiangalia vizuri picha hizi, huyo Mwanamke ni Zuchu au siyo Zuchu?