CAF yaidhibu Tanzania
CAF imethibitisha kuwa Tanzania itashiriki michuano ijayo ya AFCON 2025 lakini Tanzania imepigwa faini ya USD 50000 (Tshs 132m) kwa kosa la Mchezaji wao kutumia namba mbili tofauti
Pia CAF imetupilia mbali malalamiko ya Shirikisho la Soka la Guinea kuhusu ombi lao la kuhitaji Tanzania iondolewe katika michuano ya AFCON 2025 kutokana na Mchezaji wao kutumia namba mbili tofauti.