Bayo asaini miwili Yanga
Mshambuliaji ambaye ni raia wa Uganda, Fahad Bayo amesaini mkataba wa miaka miwili katika klabu ya Yanga SC
Kilichobaki anasubiri vibali kutoka TFF ambavyo Yanga SC wameambiwa vitatoka Jumatatu ijayo na ataanza kucheza mwezi ujao kuanzia tarehe 15.