Baka, Mzize na Aucho kuikosa Namungo kesho
Yanga itaendelea kuwakosa wachezaji wake Khalid Aucho, Clement Mzize ambao ni majeruhi na Ibrahim Bacca anaetumikia adhabu ya kadi nyekundu.
Yanga SC tayari wapo Ruangwa, Lindi kwa ajili ya mchezo dhidi ya Namungo FC utakao pigwa Novemba 30, jumamosi hii katika dimba la Majaliwa Stadium.