Al Hilal yamuhofia Maxi Nzengeli
Mchezaji hatari ndani ya Yanga SC ni Maxi Mpia Nzengeli,Ndiyo mchezaji mgumu pekee atakayetupa wakati mgumu ndani ya uwanja na mtaona haya pale akipata nafasi ya kucheza.
Jean Claude Girumgisha winga wa Al Hilal leo ameweka wazi mchezaji ambaye atawasumbua zaidi jumanne katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa ya Afrika katika uwanja wa Benjamin Mkapa.