Yanga haina majeruhi yoyote

Meneja wa kikosi Cha Yanga SC Walter Harrison amesema hakuna majeruhi yoyote kwenye kikosi chao zaidi ya Farid Mussa ambaye ameanza mazoezi.

Kwa mujibu wa maneno ya Harrison, zinaondoa taarifa za kuumia Ibrahim Baka, kwamba watu waliovumisha kwenye Instagram hazina ukweli wowote.

"Wachezaji wote waliokua kwenye majukumu ya timu za Taifa wapo vizuri,hakuna taarifa mpya kuhusu majeraha zaidi ya Farid Mussa ambaye ameanza mazoezi mepesi,wengine wote wapo sawa"Walter Harrison Meneja wa kikosi cha Yanga.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI