Viwango vya wachezaji wa nje wa vilabu vya Yanga, Simba na Azam


KUANZIA tarehe 11-13 mwezi huu wachezaji wengi wa kimataifa wanaocheza Tanzania walikuwa kwenye majukumu ya kuyatumikia mataifa yao. 

Nimekusogezea machache waliyoyafanya nyota hao kutokea Ligi Kuu yakiwemo mabao na Assist zao kwa Video.
.
WACHEZAJI WANAOCHEZA YANGA SC

Uganda. Khalid Aucho (Dakika 90) vs South Sudan
Kennedy Musonda (Dakika 90) Zambia vs  Chad
Zambia.  Clatous Chama (Dakika 63) vs Chad
Stephanie Aziz Ki (Dakika 68) Burkinafaso vs Burundi
Mali. Djigui Diarra (Dakika 90 na Clean Sheet) vs Guinea Bissau Prince Dube (Dakika 21) vs Namibia
 Duke Abuya (Dakika 78) vs Cameroon
.
WACHEZAJI WANAOCHEZA SIMBA SC 

Steven Mukwala (Hakuingia) vs South Sudan
Moussa Camara (Dakika 90) vs Ethiopia
.
WACHEZAJI WA SINGIDA BLACK STARS .
.
Marouf Tchakhei (Dakika 1) Togo vs Algeria
Mohamed Kamara (Dakika 90) vs  Ivory Coast
.
WACHEZAJI WANAOCHEZA NAMUNGO FC 

Jonathan Nahimana (Dakika 45) vs  Burkina Faso

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI