Tutawapa funzo Singida Black Stars- Alikamwe

“Tumedhamiria mambo makubwa mawili kama funzo lakuwapa Singida Black Stars, Funzo la kwanza kutaka kuwaonyesha kuwa wameingia chaka kuipeleka Young African visiwani Zanzibar sababu Zanzibar ni ngome ya timu kubwa yenye mashabiki wengi kama Young African kwahiyo wametupeleka nyumbani’’

“Funzo la pili, kutaka kuwaonyesha kwa vitendo Singida Black Stars kuwa msimamo unapendeza pale ambapo Yanga anakaa kileleni, tutakwenda kulipambania hilo kwasababu ya kuhakikisha tunakaa nafasi ya kwanza. Tunafahamu Singida wanaperfomance nzuri, wanamatokeo mazuri na ukiulizwa mechi bora msimu huu basi itakuwa kati ya Yanga Sc dhidi ya Singida Black Stars’’

“Kwenye hii mechi tunakwenda kikubwa, tunakwenda kwa hasira kubwa maana tunaamini ndio mechi ngumu kwenye msimu wetu,’’

Amesema Ofisa habari wa klabu ya Yanga SC, Ally Kamwe




Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA