TP Mazembe yashitakiwa FIFA kwa kumteka mchezaji

Klabu ya TP Mazembe imeshitakiwa FIFA kwa ‘kumteka nyara’ mshambuliaji Fily Traore raia wa Mali.
.
Traore alishinda kesi dhidi ya TP Mazembe ambao walikuwa wanamzuia asijiunge na klabu ya Al Swehli ameishitaki tena klabu hiyo FIFA huku akidai analazimishwa kufanya mazoezi na kucheza baadhi mechi ilhali dhamira yake ni kuondoka.
.
Traore anadai kuwa TP Mazembe imewatuma wahuni kumpora Passport na kumlazimisha kucheza kinyume na mapenzi yake.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI