Taifa Stars yaendelea kujifua Kurasini

Timu ya taifa, TaifaStars ikiendelea na mazoezi kwenye uwanja wa TRA, Kurasini kujiandaa na mchezo wa marudiano kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo.

Mchezo huo utapigwa Jumanne katika uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI