Stars yafa nyumbani

Mabao mawili yaliyofungwa dakika za majeruhi na Meshack Elia dakika ya 87 na 90 yametosha kuipeleka AFCON timu ya taifa ya DR Congo baada ya kuilaza nyumbani timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kwa mabao 2-0 uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam.

Kwa matokeo hayo DR Congo imefikisha pointi 12 ikicheza mechi nne huku Tañzania ikibaki nafasi ya pili na pointi zake nne ingawa nafasi bado inayo ya kufuzu.
.
MSIMAMO WA KUNDI H.
.
01. 🇨🇩 DR Congo — 12 pts
02. 🇹🇿 Tanzania — 04 pts
03. 🇬🇳 Guinea — 03 pts*
04. 🇪🇹 Ethiopia — 01 pt*


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI