Spiderman kuwafuata Yanga

Golikipa wa Klabu ya Simba, Moussa Camara ameanza safari kutokea Abidjan, Ivory Coast kuja Tanzania ili kuwahi maandalizi ya Dabi ya Kariakoo.

Moussa Pinpin Camara amedaka michezo yote miwili dhidi ya Ethiopia kwa dakika 90 wakati Guinea ikishinda michezo hiyo yote.



.

#sokamagicupdates

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI