Sipendi kuangalia soka: CR7


STAA wa soka duniani, Cristiano Ronaldo amesema anapokuwa mbele ya runinga hapendi kuangalia soka.

Ronaldo anasema: “Kucheza soka ni mapenzi yangu, lakini napendelea kutazama michezo mingine kwenye TV. Kati ya kutazama mechi ya mpira wa miguu au ndondi au UFC, mimi huchagua ndondi au UFC."

Ikumbukwe huyu sio mchezaji wa kwanza kuikataa soka ya kwenye TV awali Gerard Pique aliwahi kusema inachosha kuangalia soka kwa dakika 90, pia De Lima alisema bora aangalie tenis kuliko soka.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI