Simba yaingia mchecheto kumuacha Ngoma
Simba SC wapo na mpango wa kumkata Fabrice Luamba Ngoma lakini kwa anachokifanya kiungo huyo raia wa Congo wanatakiwa kujifikiria mara mbili mbili.
Fabrice Ngoma anacheza slowly and surely.Pale akipata nafasi anaonyesha ni kiungo mwenye uzoefu na uwezo mkubwa wa kumikiki eneo la katikati na kuipa Timu utulivu.
Jana amekua na kiwango bora sana mbele ya Namungo FC,Pasi sahihi,Kuiongoza vyema Timu na kuipa utulivu wakati wapinzani wana mipira au pale hawana…Hii ni mali wakati huo wanatengeneza project yao