Nyasa Big Bullet yapiga mtu goli 22-1 Malawi

Timu ya Nyasa Big Bullet ya Malawi imeichabanga bila huruma timu ya Kumanda AS mabao 22-1 mchezo wa kuwania Castle Challenge Cup.

Katika mchezo huo mchezaji mmoja wa Nyasa Big Bullet kafunga mabao manane, na haya ni mabao yao yote.
02’—⚽️ Ronald Chitiyo
08’—⚽️Chikumbutso Salima
09’—⚽️ Chawanangwa Gumbo
14’—⚽️ Precious Phiri
41’—⚽️ Chikumbutso Salima
20’—⚽️ Chawanangwa Gumbo
31’—⚽️ Chawanangwa Gumbo
33’—⚽️ Precious Phiri
39’—⚽️ Precious Phiri
45’+1—⚽️ Chawanangwa Gumbo
45’+3—⚽️ Chawanangwa Gumbo
47’—⚽️ Precious Phiri
49’—⚽️ Stanley Billiat
50’—⚽️ Precious Phiri
58’—⚽️ Precious Phiri
59’—⚽️ Stanley Billiat
70’—⚽️ StanleyBilliat
79’—⚽️ Stanley Billiat
76’—⚽️ Efraim Kondowe
80’—⚽️ Chawanangwa Gumbo
85’—⚽️ Chawanangwa Gumbo
89’—⚽️ Chawanangwa Gumbo

✅ Mashindano ni Castle Challenge Cup. Nyasa wanatinga hatua ya 18 bora.
.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI