Nigeria wasusia Hiace badala ya bus


Timu ya Taifa ya Nigeria ikiwa njiani kuelekea nyumbani baada ya kuiarifu CAF kuwa wachezaji hawako tayari kucheza mechi ya Kufuzu Afcon dhidi ya Libya kufuatia mkasa uliowakuta.

Wachezaji wa timu ya Taifa ya Nigeria wamefikia uamuzi baada ya kukutana na madhira nchini humo ikiwemo kupewa Hiace na wenyeji wao badala ya Bus kubwa.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI