Ngorongoro Heroes yailaza Rwanda

Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes imemaliza ubishi baada ya kuilaza Rwanda mabao 3-0 mchezo wa kufuzu mataifa Afrika AFCON kupitia CECAFA.

Huu ni ushindi wake wa tatu mfululizo, mabao ya Ngorongoro Heroes yamefungwa na Zidane Sereli na Sabri Kondo aliyefunga mawili Ngorongoro Heroes inanolewa na mchezaji na kocha wa zamani wa Yanga, Charles Mkwasa

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI